Zaburi 121:1-3
Zaburi 121:1-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Natazama juu milimani; msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu watoka kwa Mwenyezi-Mungu, aliyeumba mbingu na dunia. Hatakuacha uanguke; mlinzi wako hasinzii.
Shirikisha
Soma Zaburi 121Zaburi 121:1-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu hutoka kwa BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi. Hatauacha mguu wako usogezwe; Akulindaye hatasinzia
Shirikisha
Soma Zaburi 121Zaburi 121:1-3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu u katika BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi. Asiuache mguu wako usogezwe; Asisinzie akulindaye
Shirikisha
Soma Zaburi 121