Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 8:1-4

Methali 8:1-4 BHN

Sikilizeni! Hekima anaita! Busara anapaza sauti yake! Juu penye mwinuko karibu na njia, katika njia panda ndipo alipojiweka. Karibu na malango ya kuingilia mjini, mahali wanapoingia watu anaita kwa sauti: “Enyi watu wote, nawaita nyinyi! Wito wangu ni kwa ajili ya binadamu.

Soma Methali 8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Methali 8:1-4