Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 7:2-3

Methali 7:2-3 BHN

Zifuate amri zangu nawe utaishi; yalinde mafundisho yangu kama mboni ya jicho lako. Yafunge vidoleni mwako; yaandike moyoni mwako.

Soma Methali 7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Methali 7:2-3

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha