Methali 7:2-3
Methali 7:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Zifuate amri zangu nawe utaishi; yalinde mafundisho yangu kama mboni ya jicho lako. Yafunge vidoleni mwako; yaandike moyoni mwako.
Shirikisha
Soma Methali 7Methali 7:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Uzishike amri zangu ukaishi, Na sheria yangu kama mboni ya jicho lako. Zifunge katika vidole vyako; Ziandike juu ya kibao cha moyo wako.
Shirikisha
Soma Methali 7