Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 6:16-19

Methali 6:16-19 BHN

Kuna vitu sita anavyochukia Mwenyezi-Mungu; naam, vitu saba ambavyo ni chukizo kwake: Macho ya kiburi, ulimi mdanganyifu, mikono inayoua wasio na hatia, moyo unaopanga mipango miovu, miguu iliyo mbioni kutenda maovu, shahidi wa uongo abubujikaye uongo, na mtu achocheaye fitina kati ya ndugu.

Soma Methali 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Methali 6:16-19