Mit 6:16-19
![Mit 6:16-19 - Kuna vitu sita anavyovichukia BWANA;
Naam, viko saba vilivyo chukizo kwake.
Macho ya kiburi, ulimi wa uongo,
Na mikono imwagayo damu isiyo na hatia;
Moyo uwazao mawazo mabaya;
Miguu iliyo myepesi kukimbilia maovu;
Shahidi wa uongo asemaye uongo;
Naye apandaye mbegu za fitina kati ya ndugu.](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2F320x320%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fstatic-youversionapi-com%2Fimages%2Fbase%2F65134%2F1280x1280.jpg&w=640&q=75)
Kuna vitu sita anavyovichukia BWANA; Naam, viko saba vilivyo chukizo kwake. Macho ya kiburi, ulimi wa uongo, Na mikono imwagayo damu isiyo na hatia; Moyo uwazao mawazo mabaya; Miguu iliyo myepesi kukimbilia maovu; Shahidi wa uongo asemaye uongo; Naye apandaye mbegu za fitina kati ya ndugu.
Mit 6:16-19