Methali 30:12-14
Methali 30:12-14 BHN
Kuna watu ambao hujiona kuwa wema, kumbe bado hawajatakaswa uchafu wao. Kuna na wengine – kiburi ajabu! Hudharau kila kitu wanachokiona. Kuna watu ambao meno yao ni kama upanga, na magego yao ni kama visu. Wako tayari kuwatafuna maskini wa nchi, na wanyonge walio miongoni mwa watu!