Methali 30:12-14
Methali 30:12-14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kuna kizazi cha watu walio safi machoni pao wenyewe; Ambao hawakuoshwa uchafu wao. Kuna kizazi cha watu ambao macho yao yameinuka kama nini! Na kope zao zimeinuka sana. Kuna kizazi cha watu ambao meno yao ni panga; Na vigego vyao ni kama visu. Ili kuwala maskini waondolewe katika nchi, Na wahitaji katika wanadamu.
Methali 30:12-14 Biblia Habari Njema (BHN)
Kuna watu ambao hujiona kuwa wema, kumbe bado hawajatakaswa uchafu wao. Kuna na wengine – kiburi ajabu! Hudharau kila kitu wanachokiona. Kuna watu ambao meno yao ni kama upanga, na magego yao ni kama visu. Wako tayari kuwatafuna maskini wa nchi, na wanyonge walio miongoni mwa watu!
Methali 30:12-14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kuna kizazi cha watu walio safi machoni pao wenyewe; Ambao hawakuoshwa uchafu wao. Kuna kizazi cha watu ambao macho yao yameinuka kama nini! Na kope zao zimeinuka sana. Kuna kizazi cha watu ambao meno yao ni panga; Na vigego vyao ni kama visu. Ili kuwala maskini waondolewe katika nchi, Na wahitaji katika wanadamu.
Methali 30:12-14 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
wale ambao ni safi machoni pao wenyewe kumbe hawakuoshwa uchafu wao; wale ambao daima macho yao ni ya kiburi, ambao kutazama kwao ni kwa dharau; wale ambao meno yao ni panga na ambao mataya yao yamewekwa visu kuwaangamiza maskini katika nchi, na wahitaji kutoka miongoni mwa wanadamu.