Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 30:12-14

Mit 30:12-14 SUV

Kuna kizazi cha watu walio safi machoni pao wenyewe; Ambao hawakuoshwa uchafu wao. Kuna kizazi cha watu ambao macho yao yameinuka kama nini! Na kope zao zimeinuka sana. Kuna kizazi cha watu ambao meno yao ni panga; Na vigego vyao ni kama visu. Ili kuwala maskini waondolewe katika nchi, Na wahitaji katika wanadamu.

Soma Mit 30

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 30:12-14