Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 24:17-18

Methali 24:17-18 BHN

Usishangilie kuanguka kwa adui yako; usifurahie moyoni mwako kujikwaa kwake, maana Mwenyezi-Mungu aonaye hayo hatapendezwa; huenda akaacha kumwadhibu.

Soma Methali 24

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Methali 24:17-18

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha