Methali 24:17-18
Methali 24:17-18 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Usitazame kwa kufurahia adui yako aangukapo; wakati ajikwaapo, usiruhusu moyo wako ushangilie. BWANA asije akaona na kuchukia akaiondoa ghadhabu yake mbali naye.
Shirikisha
Soma Methali 24Methali 24:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Usishangilie kuanguka kwa adui yako; usifurahie moyoni mwako kujikwaa kwake, maana Mwenyezi-Mungu aonaye hayo hatapendezwa; huenda akaacha kumwadhibu.
Shirikisha
Soma Methali 24