Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 2:20-22

Methali 2:20-22 BHN

Kwa hiyo utafuata mfano wa watu wema, na kuzingatia mienendo ya waadilifu. Maana wanyofu wataipata nchi, na waaminifu watadumu ndani yake. Lakini waovu wataondolewa nchini, na wenye hila watangolewa humo.

Soma Methali 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Methali 2:20-22

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha