Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 16:17-19

Methali 16:17-19 BHN

Njia ya wanyofu huepukana na uovu; anayechunga njia yake huhifadhi maisha yake. Kiburi hutangulia maangamizi; majivuno hutangulia maanguko. Afadhali kuwa mnyenyekevu na kuwa maskini, kuliko kugawana nyara na wenye kiburi.

Soma Methali 16

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Methali 16:17-19