Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 10:21-22

Methali 10:21-22 BHN

Maneno ya mwadilifu huwafaa watu wengi, lakini wapumbavu hufa kwa kukosa akili. Baraka za Mwenyezi-Mungu ndizo ziletazo fanaka, juhudi za mtu haziongezi hapo chochote.

Soma Methali 10