Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 10:21-22

Mithali 10:21-22 NEN

Midomo ya mwenye haki hulisha wengi, lakini wapumbavu hufa kwa kukosa ufahamu. Baraka ya BWANA hutajirisha, wala haichanganyi huzuni.