Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 2:1-2

Wafilipi 2:1-2 BHN

Je, maisha yenu katika Kristo yanawapeni nguvu? Je, upendo wake unawafarijini? Je, mnao umoja na Roho Mtakatifu na kuoneana huruma na kusikitikiana nyinyi kwa nyinyi? Basi, ikamilisheni furaha yangu kwa kuwa na fikira moja, upendo mmoja, moyo mmoja na nia moja.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wafilipi 2:1-2