Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hesabu 6:23-27

Hesabu 6:23-27 BHN

“Mwambie Aroni na wanawe kwamba hivi ndivyo mtakavyowabariki Waisraeli: Mtawaambia, ‘Mwenyezi-Mungu awabariki na kuwalinda; Mwenyezi-Mungu awaangalie kwa wema, na kuwafadhili; Mwenyezi-Mungu awaoneshe wema wake na kuwapa amani.’ “Ndivyo watakavyotamka jina langu juu ya Waisraeli, nami nitawabariki.”

Soma Hesabu 6

Video for Hesabu 6:23-27