Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hesabu 6:23-27

Hesabu 6:23-27 NEN

“Mwambie Aroni na wanawe, ‘Hivi ndivyo mtakavyowabariki Waisraeli. Waambieni: “ ‘ “BWANA akubariki na kukulinda; BWANA akuangazie nuru ya uso wake na kukufadhili; BWANA akugeuzie uso wake na kukupa amani.” ’ “Hivyo wataliweka Jina langu juu ya Waisraeli, nami nitawabariki.”

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha