Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hesabu 5:6-7

Hesabu 5:6-7 BHN

“Waambie Waisraeli kuwa: Mtu yeyote, mwanamume au mwanamke akitenda dhambi dhidi ya mtu, akakosa uaminifu kwa Mwenyezi-Mungu, mtu huyo ana hatia; itambidi aungame dhambi yake aliyotenda. Lazima atoe fidia kamilifu kwa kosa lake, akiongeza asilimia ishirini ya fidia hiyo; atampa fidia hiyo yule aliyemkosea.

Soma Hesabu 5

Video for Hesabu 5:6-7