Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hes 5:6-7

Hes 5:6-7 SUV

Uwaambie wana wa Israeli, Mtu mume au mke atakapofanya dhambi yo yote, ifanywayo na binadamu, kumwasi BWANA, na mtu huyo akawa na hatia; ndipo watakapoungama dhambi yao waliyoifanya; naye atarudisha kwa hatia yake, kwa utimilifu wake, tena ataongeza juu yake sehemu ya tano, na kumpa huyo aliyemkosa.

Soma Hes 5

Video for Hes 5:6-7