Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 9:28-29

Marko 9:28-29 BHN

Basi, Yesu alipoingia nyumbani, wanafunzi wake walimwuliza kwa faragha, “Kwa nini sisi hatukuweza kumtoa?” Naye akawaambia, “Pepo wa aina hii hawezi kutoka isipokuwa kwa sala.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 9:28-29