Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mk 9:28-29

Mk 9:28-29 SUV

Hata alipoingia nyumbani, wanafunzi wake wakamwuliza kwa faragha, Mbona sisi hatukuweza kumtoa? Akawaambia, Namna hii haiwezi kutoka kwa neno lo lote, isipokuwa kwa kuomba.

Soma Mk 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mk 9:28-29