Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 8:34-36

Marko 8:34-36 BHN

Kisha akauita umati wa watu pamoja na wanafunzi wake, akawaambia, “Kama mtu yeyote anataka kuwa mfuasi wangu, lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate. Maana mtu anayetaka kuyaokoa maisha yake mwenyewe, atayapoteza, lakini mtu anayepoteza maisha yake kwa ajili yangu na kwa ajili ya Habari Njema, atayaokoa. Je, kuna faida gani mtu kuupata ulimwengu wote na kuyapoteza maisha yake?

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 8:34-36