Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 8:34-36

Marko 8:34-36 NEN

Ndipo akauita ule umati wa watu pamoja na wanafunzi wake, akasema, “Mtu yeyote akitaka kunifuata, ni lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate. Kwa maana yeyote anayetaka kuyaokoa maisha yake atayapoteza, lakini yeyote atakayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu na kwa ajili ya Injili atayaokoa. Je, itamfaidi nini mtu kuupata ulimwengu wote, lakini akayapoteza maisha yake?

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 8:34-36