Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 4:30-32

Marko 4:30-32 BHN

Tena, Yesu akasema, “Tuufananishe Ufalme wa Mungu na nini? Tuueleze kwa mifano gani? Ni kama mbegu ya haradali ambayo ni ndogo kuliko mbegu zote. Lakini ikisha pandwa, huota na kuwa mmea mkubwa kuliko mimea yote ya shambani. Matawi yake huwa makubwa hata ndege wa angani huweza kujenga viota vyao katika kivuli chake.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 4:30-32