Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 4:30-32

Marko 4:30-32 NEN

Akawaambia tena, “Tuufananishe Ufalme wa Mungu na nini? Au tutumie mfano gani ili kuueleza? Ni kama punje ya haradali, ambayo ni mbegu ndogo sana kuliko mbegu zote zinazopandwa ardhini. Lakini ikishaota, hukua ikawa mmea mkubwa kuliko yote ya bustanini, ikawa na matawi makubwa hata ndege wa angani wanaweza kujenga viota kwenye matawi yake.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 4:30-32