Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 11:24-26

Marko 11:24-26 BHN

Kwa hiyo nawaambieni, mnaposali na kuomba kitu, aminini kwamba mmekipokea, nanyi mtapewa. Mnaposimama kusali, msameheni kila mtu aliyewakosea chochote, ili Baba yenu aliye mbinguni awasamehe nyinyi makosa yenu.” [ Lakini msipowasamehe wengine, hata Baba yenu aliye mbinguni hatawasamehe nyinyi makosa yenu.]

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 11:24-26