Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 1:21-22

Marko 1:21-22 BHN

Wakafika mjini Kafarnaumu, na mara ilipofika Sabato, Yesu akaingia katika sunagogi, akaanza kufundisha. Watu wote waliomsikia walishangazwa na mafundisho yake, maana hakuwa anafundisha kama waalimu wao wa sheria, bali kama mtu mwenye mamlaka.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 1:21-22