Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mk 1:21-22

Mk 1:21-22 SUV

Wakashika njia mpaka Kapernaumu, na mara siku ya sabato akaingia katika sinagogi, akafundisha. Wakashangaa mno kwa mafundisho yake; kwa maana alikuwa akiwafundisha kama mtu mwenye amri, wala si kama waandishi.

Soma Mk 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mk 1:21-22