Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 28:5-6

Mathayo 28:5-6 BHN

Lakini yule malaika akawaambia wale wanawake, “Nyinyi msiogope! Najua kwamba mnamtafuta Yesu aliyesulubiwa. Hayupo hapa maana amefufuka kama alivyosema. Njoni mkaone mahali alipokuwa amelala.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 28:5-6