Mathayo 28:5-6
Mathayo 28:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini yule malaika akawaambia wale wanawake, “Nyinyi msiogope! Najua kwamba mnamtafuta Yesu aliyesulubiwa. Hayupo hapa maana amefufuka kama alivyosema. Njoni mkaone mahali alipokuwa amelala.
Shirikisha
Soma Mathayo 28Mathayo 28:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Malaika akajibu, akawaambia wale wanawake, Msiogope ninyi; kwa maana najua ya kuwa mnamtafuta Yesu aliyesulubiwa. Hayupo hapa; maana amefufuka kama alivyosema. Njooni, mpatazame mahali alipolazwa.
Shirikisha
Soma Mathayo 28Mathayo 28:5-6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Malaika akajibu, akawaambia wale wanawake, Msiogope ninyi; kwa maana najua ya kuwa mnamtafuta Yesu aliyesulibiwa. Hayupo hapa; kwani amefufuka kama alivyosema. Njoni, mpatazame mahali alipolazwa.
Shirikisha
Soma Mathayo 28