Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 2:13

Mathayo 2:13 BHN

Baada ya wale wageni kuondoka, malaika wa Bwana alimtokea Yosefu katika ndoto, akamwambia, “Amka! Mchukue mtoto pamoja na mama yake, mkimbilie Misri. Kaeni huko mpaka nitakapokuambia, maana Herode anakusudia kumuua huyu mtoto.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 2:13