Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Malaki 1:11

Malaki 1:11 BHN

Watu wa mataifa kote duniani, toka mawio ya jua hadi machweo yake, wanalitukuza jina langu. Kila mahali wananifukizia ubani na kunitolea tambiko zinazokubalika; maana jina langu linatukuzwa miongoni mwao.

Soma Malaki 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Malaki 1:11

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha