Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 5:30-32

Luka 5:30-32 BHN

Mafarisayo na waalimu wa sheria wakawanungunikia wanafunzi wake wakisema: “Kwa nini mnakula na kunywa pamoja na watozaushuru na wenye dhambi?” Yesu akawajibu, “Wenye afya hawamhitaji daktari; wanaomhitaji ni wale walio wagonjwa. Sikuja kuwaita watu wema, bali wenye dhambi, wapate kutubu.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 5:30-32