Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 19:1-3

Luka 19:1-3 BHN

Yesu aliingia mjini Yeriko, akawa akipita katika njia za mji huo. Palikuwa na mtu mmoja huko mjini aitwaye Zakayo ambaye alikuwa mkuu wa watozaushuru, na pia mtu tajiri. Alitaka kuona Yesu alikuwa nani, lakini kwa sababu ya umati wa watu, na kwa vile alikuwa mfupi, hakufaulu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 19:1-3