Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 19:1-3

Luka 19:1-3 NEN

Yesu akaingia Yeriko, naye alikuwa anapita katikati ya huo mji. Tazama, palikuwa na mtu mmoja mkuu wa watoza ushuru naye alikuwa tajiri, jina lake Zakayo. Yeye alikuwa akijitahidi kumwona Yesu ni mtu wa namna gani. Lakini kutokana na umati mkubwa wa watu hakuweza kwa sababu alikuwa mfupi wa kimo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 19:1-3