Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 19:1-3

Lk 19:1-3 SUV

Naye alipoingia Yeriko alipita katikati yake. Na tazama, palikuwa na mtu, jina lake Zakayo, mkubwa mmoja katika watoza ushuru, naye ni tajiri. Huyu alikuwa akitafuta kumwona Yesu ni mtu wa namna gani, asiweze kwa sababu ya umati wa watu, maana ni mfupi wa kimo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 19:1-3