Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 10:3-4

Luka 10:3-4 BHN

Sasa nendeni; fahamuni kwamba ninawatuma nyinyi kama kondoo wanaokwenda kati ya mbwamwitu. Msichukue mfuko wa fedha, mkoba, wala viatu; msimsalimu mtu yeyote njiani.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 10:3-4