Luka 10:3-4
Luka 10:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Sasa nendeni; fahamuni kwamba ninawatuma nyinyi kama kondoo wanaokwenda kati ya mbwamwitu. Msichukue mfuko wa fedha, mkoba, wala viatu; msimsalimu mtu yeyote njiani.
Shirikisha
Soma Luka 10Luka 10:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nendeni, angalieni, nawatuma kama wana-kondoo kati ya mbwamwitu. Msichukue mfuko, wala mkoba, wala viatu; wala msimwamkie mtu njiani.
Shirikisha
Soma Luka 10