Luka 10:3-4
Luka 10:3-4 NEN
Haya! nendeni. Ninawatuma kama wana-kondoo katikati ya mbwa mwitu. Msichukue mkoba, wala mfuko, wala viatu, na msimsalimu mtu yeyote njiani.