Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 10:23-24

Luka 10:23-24 BHN

Halafu akawaelekea wafuasi wake akawaambia, “Heri wanaoona yale mnayoyaona nyinyi! Hakika, manabii na wafalme walitamani kuona yale mnayoyaona nyinyi wasiyaone, na kusikia yale mnayoyasikia wasiyasikie.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 10:23-24