Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 10:23-24

Luka 10:23-24 NEN

Basi Yesu akawageukia wanafunzi wake akanena nao faraghani, akawaambia, “Heri macho yanayoona yale mambo mnayoyaona. Kwa maana nawaambia, manabii wengi na wafalme walitamani kuona yale mnayoyaona lakini hawakuyaona, na walitamani kusikia yale mnayoyasikia lakini hawakuyasikia.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 10:23-24