Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 1:41-43

Luka 1:41-43 BHN

Mara tu Elisabeti aliposikia sauti ya Maria, mtoto mchanga tumboni mwake Elisabeti akaruka. Naye Elisabeti akajazwa Roho Mtakatifu, akasema kwa sauti kubwa, “Umebarikiwa kuliko wanawake wote, naye utakayemzaa amebarikiwa. Mimi ni nani hata mama wa Bwana wangu afike kwangu?

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 1:41-43