Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 1:41-43

Luka 1:41-43 SRUV

Ikawa Elisabeti aliposikia kule kuamkia kwake Mariamu, kitoto kichanga kikaruka ndani ya tumbo lake; Elisabeti akajazwa Roho Mtakatifu; akapaza sauti kwa nguvu akasema, Umebarikiwa wewe katika wanawake, naye mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Limenitokeaje neno hili, hata mama wa Bwana wangu anijie mimi?

Soma Luka 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 1:41-43