Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 1:24-25

Luka 1:24-25 BHN

Baadaye Elisabeti mkewe akapata mimba. Akajificha nyumbani kwa muda wa miezi mitano, akisema: “Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana; ameniangalia na kuniondolea aibu niliyokuwa nayo mbele ya watu.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 1:24-25