Luka 1:24-25
Luka 1:24-25 Biblia Habari Njema (BHN)
Baadaye Elisabeti mkewe akapata mimba. Akajificha nyumbani kwa muda wa miezi mitano, akisema: “Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana; ameniangalia na kuniondolea aibu niliyokuwa nayo mbele ya watu.”
Shirikisha
Soma Luka 1Luka 1:24-25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata baada ya siku zile mkewe Elisabeti alichukua mimba akatawa miezi mitano, akisema, Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana katika siku zile alizoniangalia ili kuniondolea aibu yangu mbele ya watu.
Shirikisha
Soma Luka 1