Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yoshua 1:9-10

Yoshua 1:9-10 BHN

Kumbuka kuwa mimi nimekuamuru uwe imara na hodari. Usiogope wala usifadhaike kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, niko pamoja nawe popote uendapo.” Kisha Yoshua akawaamuru viongozi wa watu

Soma Yoshua 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yoshua 1:9-10