Yoshua 1:9-10
Yoshua 1:9-10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Je! Si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako. Ndipo Yoshua akawaamuru maakida wa watu, akisema
Shirikisha
Soma Yoshua 1Yoshua 1:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Kumbuka kuwa mimi nimekuamuru uwe imara na hodari. Usiogope wala usifadhaike kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, niko pamoja nawe popote uendapo.” Kisha Yoshua akawaamuru viongozi wa watu
Shirikisha
Soma Yoshua 1Yoshua 1:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Je! Si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako. Ndipo Yoshua akawaamuru viongozi wa watu, akisema
Shirikisha
Soma Yoshua 1