Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yobu 36:20-23

Yobu 36:20-23 BHN

Usitamani usiku uje, ambapo watu hufanywa watoweke walipo. Jihadhari! Usiuelekee uovu maana umepatiwa mateso kukuepusha na uovu. Kumbuka ukuu wa uwezo wa Mungu; nani awezaye kumfundisha kitu? Nani basi aliyeweza kumpangia njia yake, au awezaye kumwambia: ‘Umekosea?’

Soma Yobu 36

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yobu 36:20-23