Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayu 36:20-23

Ayu 36:20-23 SUV

Usiutamani usiku, Wakati watu wakatwapo katika mahali pao. Jitunze, usiutazame uovu; Kwani umeuchagua huo zaidi ya taabu. Tazama, Mungu hutenda makuu kwa uweza wake; Ni nani afundishaye kama yeye? Ni nani aliyemwagiza njia yake? Au ni nani awezaye kusema, Wewe umetenda yasiyo haki?

Soma Ayu 36

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayu 36:20-23